Picha 6 za Mafuriko ya Lowassa Kibaigwa Mkoani Dodoma
Tangu
tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni za Ukawa,Lowassa
ameendelea kuwa gumzo sehemu mbali mbali anapofanya mikutano ya
kampeni zake.
Jana Sept
10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika
uwanja wa Amani
No comments:
Post a Comment