KIKAO cha Halmashauri Kuu YA Taifa
(NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1)
John Magufuli 2) Asha-rose Migiro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata
ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa Mkutano Mkuu wa Taifa ili kupata
jina moja (1) la mgombea Urais 2015.