Mshambuliaji
mpya wa Yanga kutoka timu ya Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma,
akionesha umahiri wake wa kuchezea mpira kwenye mazoezi hayo.
KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea
kujiimarisha kwa ajili ya michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa
kutimua vumbi jijini Dar es Salaam hivi karibuni....
HABARI NA PICHA ZAIDI===>http://bit.ly/1LW0xeT