Saturday, June 21, 2014

AJARI MBAYA SANA JIJI DAR YATOKEA,' TAHADHARI' PICHA ZINZTISHA SANA . TUNAOMBA RADHI

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI TAZAMA JINSI WATU WALIVYOKUFA KWENYE AJARI YA DALADALA ZILIZOGONGANA NA KUUWA WATU 19


TAHADARI PICHA ZINA TISHA
 Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo. 
Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
 R.I.P

Tunatoa pole kwa familia zote zilizo fikwa na msiba huu. Habari zaidi tutawaletea tutakapo zipata