Saturday, June 21, 2014

BUSISIWE MALLISA PUTUMA msichana mdogo mwenye ndoto za kuwa mwanamitindo maarufu/ A young lady who dreams to be a famous model in the word

BUSISIWE MALLISA PUTUMA amezaliwa mwaka 1998 ,ni msichana wa shule lakini ana ndoto za kuwa mwanamitindo maarufu sana Duniani.

BUSISIME MALLISA PUTUMA is a young lady who dreams to become a famous model in the world, she is still a student but she walks with ambitions of being a model,She was born on 1998