Celebrities
wa Tzee ambao wana muonekano mzuri na kuwa na Mashabiki wengi kutokana
na majukumu yao wanayoyafanya kila siku, cheki hapa hapa list hiyo.
1. Wema
Sepetu aka Beutifull Onyinye ni mwana Dada mwenye mvuto sana anajua
kutupi vilivyo huwa akosei kweye mavazi na kimuonekano wake na kwa
kujiweka Smart Women all the Time ndiyo inamfanya azidi kupata Mashabiki
wengi sana na sometime huenda nje ya nchi kununua viwalo, na mwaka huu
aliweza kupata Tuzo ya Ijuma Sex Garl na kibongo bongo ana fananishwa na
staa wa pande za Obama Mwana Dada ,Mwana mitindo na Mrs kanye West Kim
Kardashian.
2.Rita
Pausen aka Madam Rita ni mwana Mama ambaye anapenda sana muonekano wake
na hiko kitu kina mpelekea kuwa Mwana Mama wakiasa kwani Wana Wake
wengi wakifika kwenye umri Wautuuzima wana kuwa hawa jali muonekano wao
ila Madamu Rita ana penda kuonekano Waki sasa na kumpelekea Miakamiliyo
oita kushina tunzo Selebrite mwenye muonekano Mzuri ambapo tuzo hizo
zili anadakiwa na Baab Kubwa Magazine.
3. Jack Wolper: ni msichana mwenye kupenda kujibadilisha muonekano
wake wa Mavazi kila kukicha na kumfanya awe tofauti na kwenda na Fashion
na kumuwezesha mwaka jana kushina Tuzo ya Ijumaa Sex Gal 2013 na
kumuwezesha kuwa staa wenyw muoneka no tofauti na mastaa wengine bongo
wana o fanay bongo Muvi Tze
4. Vanessa Mdee: ni Msanii wa Rnb ni miongoni wa Wasanii ambao wenye
mvuto wa aina yake na kufanya awe tofauti kwani kimavazi jinsi anavyo
vaa kwenye show hata kwenye shuhuli zake za kawaida Style anakuwa na
muonekano mzuri Mwaka jana alibahatika kuingia kwenye Tuzo za Swahili
Fashion .
4. Vanessa Mdee: ni Msanii wa Rnb ni miongoni wa Wasanii ambao wenye
mvuto wa aina yake na kufanya awe tofauti kwani kimavazi jinsi anavyo
vaa kwenye show hata kwenye shuhuli zake za kawaida Style anakuwa na
muonekano mzuri Mwaka jana alibahatika kuingia kwenye Tuzo za S