Mwongozaji
na msanii wa filamu anayemiliki Studio ya Five Effect, William J. Mtitu
akipokea tuzo kwa niaba ya Issa Mussa 'Cloud'.
FILAMU ya msanii Issa Mussa 'Cloud' iitwayo Shahada na ile ya wasanii
King Majuto, Jacob Steven 'JB' na Shamsa Ford 'Shikamoo Mzee'
zimejishinda tuzo jana katika Tamasha la ZIFF linaloendelea Ngome Kongwe
Visiwani Zanzibar!