WATANZANIA TUNAWEZA!
Penye
nia pana njia, fikiri, panga mikakati na utafaikiwa. Mzee Mengi
hakuzaliwa katika familia tajiri. Alizaliwa katika familia ya mtoto
kutembea pekupeku, hata kuvaa ndala ni anasa, lakini leo hii ni
Bilionea. BIG UP Mzee, unaonesha njia...!