Wednesday, June 25, 2014

MLIPUKO WA BOMU WAUA 21 ABUJA NIGERIA


Mulipuko wa bomu umetokea katika duka kubwa la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza, jijini Abuja, Nigeria.
Vikosi vya zimamoto vikiendelea kuzima moto.
....Wakipewa huduma ya kwanza.
...Askari wakiendelea na ulinzi baada ya mulipuko wa bomu kutokea.
Mulipuko wa bomu umetokea saa moja kabla ya mechi ya Kombe la Dunia Ngeria dhidi ya Argentina katika duka la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza na kuua watu zaidi ya 21.
AFP imeripoti kuwa bomu hilo limeripuka katika duka la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza, maduka ambayo huwa na wateja wengi kuliko maduka yote (mall) katika jiji hilo.
“Unaona moshi mkubwa unafuka angani ni sehemu ya watu wengi.” Msemaji wa kitengo cha dharura cha Abuja aliiambia AFP.

No comments:

Post a Comment