Baadhi
ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakiingia kwa madaha kwenye kambi
yao katika hoteli ya Giraffe iliyoko Jijini Dar es Salaam, warembo hao
wameanza kambi yao Jana kujiandaa kwa fainali ya Vodacom Miss Tanzania
katikati ya mwezi ujao.
Mrembo Beatrice Urassa (20) anayeiwakilisha…