Saturday, June 21, 2014

WIZKID MSANI KUTOKA NIGERIA KUTOA WIMBO MPYA NA CHRIS BROWN

 WizKid akila Bata na Chris Brown katika Hoteli ya SLS HOTEL iliyopo LosAngels Marekami
Ngoma hiyo imeishakuwa tayari 
Hongera sana kwa WizKid kwa hatua aliyopiga