Saturday, June 21, 2014

AMSHAAMSHA KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA JAHAZI NDANI YA DAR LIVE


Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mohammed Ally akiimba wimbo 'Kazi Unayo' kabla ya uzinduzi wa albamu mpya iitwayo Chozi la Mama.
Mashabiki wa Jahazi wakiburudika kabla ya uzinduzi.…