Saturday, June 21, 2014

MAINDA AWAJIBU WANAOHOJI ULOKOLE WAKE


Stori: Gabriel Ng’osha
Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’  amefunguka kuwa kwa sasa hatakubali tena kusumbuliwa na wanaohoji juu ya maisha yake mapya ya wokovu.…