VICKY KAMATA AFANYIWA SHEREHE
Stori: Musa mateja
BAADA ya kimya kirefu tangu ndoa iliyopagwa kufungwa
kati yake na Charles Pai kuyeyuka, Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata ameibuka na kufunguka
mambo mengi lakini kubwa ni kwamba, amefanyiwa sherehe.…