Saturday, June 21, 2014

WAKATI MBASHA AKIWA HURU KWA DHAMANA, GWAJIMA APASUA JIPU!


Stori: Haruni Sanchawa na Richard Bukos
WAKATI mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena…