Kocha wa Uholanzi Lous van Gaal
amezua taharuki baada ya kusema kuwa mashambulizi wake matata
van Persie anaugua utumbo na kuwa anahofu iwapo atacheza dhidi ya Argentika katika mechi ya pili ya nudu fainali au la.
Kocha Van Gaal amesema kuwa nafasi yake huenda
ikachukuliwa na Nigel de Jong iwapo daktari wa timu hiyo atadhibitisha
kuwa van Persie huenda akashindwa kuhimili uchungu na hivyo kukosa mechi
hiyo muhimu.van Persie anaugua utumbo na kuwa anahofu iwapo atacheza dhidi ya Argentika katika mechi ya pili ya nudu fainali au la.
Kocha huyo anakila sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya Nahodha wake kutoshiriki mazoezi siku ya kuamkia mechi hiyo muhimu , hata hivyo anaafueni baada ya kurejea kwa Ron Vlaar na Leroy Fer mazoezini.
wawili hao walikuwa wamejeruhiwa katika mechi za makundi.
Argentina pia wanatatizika kwa kumkosa mchezaji wa kutegemewa Angel Di Maria ambaye amejeruhi paja lake lakini watakuwa na wasaidizi wake Sergio Aguero na Marcos Rojo ambao watakuwa kwa ajili ya mechi hiyo ya kihistoria kwao.
Uholanzi tofauti na Argentina imefuzu kwa fainali ya kombe la dunia mara mbili zilizopita ikimaliza ya pili mara mbili mfululizo .
No comments:
Post a Comment