Friday, December 19, 2014

LORI LA MAFUTA LAANGUKA

Lori la mafuta likiwa limepinduka eneo la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa, Dar. Kikosi cha Zima Moto kikiwa eneo la tukio.Makamanda wa Polisi wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi.Magari mengine yakiwa kwenye foleni katika eneo hilo.
Na Mwandishi Wetu
LORI lililokuwa limebeba Mafuta ya Petroli, limepinduka leo jioni na kumwaga mafuta katika makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa jijini Dar es Salaam. Hakuna aliyedhurika katika ajali hiyo.