Neno alilosema Bob Junior baada ya kuulizwa kama anatumia rangi ya mdomo.
Kwenye
picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka
rangi ya mdomo [Lipstick] leo July 08 Soudy Brown kaongea na Bob Junior
na amekubali
kusema sababu kubwa ya yeye kupaka rangi hizo za mdomo.
No comments:
Post a Comment